Wednesday, 24 November 2021

DEUS KIBAMBA AIPONGENZA LHRC


 Mkurugenzi Mtendaji waTCID Deus Kibamba amesema anawapongeza LHRC Kwa kuweza kushirikiana na taasisi ya APRM Kwa kuzinduwa ripoti ya tanzania katika maswala ya kujitathimini Mfano upande wa Utawara Bora ,Demokrasia na mengineyo.

Ambako itasaidia kuelewa tulipo toka ,tulipo na tuendapo katika maswala ya Utawara Bora na Demokrasia.

Deus Kibamba amezitaka Asasi za Kiraia kutoa ushirikiano Kwa APRM.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment