Meneja Julia Jenjezuu wa Chuo cha DIT amesema Lengo la mradi wao ni kutatua changamoto zilizopo katika jamii kwenye hispitali mbalimbali .amesema vifaa wanavyovitumia vikipelekwa mahospitalini vitasaidia kutatua changamoto mbalimbali.
Ametoa wito Kwa serikali kufanya maboresho na malekebisho yasera na sheria kwenye upande wa Afya.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment