Tuesday, 23 November 2021

KIKWETE AIPONGENZA T-MARC


 Raisi wa Hawamu ya Nne wa Tanzania Mrisho Jakaya Kikwete Amewapongeza T-MARC Kwa kutoa huduma zilizobora na nzuri Pia amesema maleria, HIV ni mambo ambayo yanatikisa dunia pamoja na Tanzania lakini kupitia T-MARC watanzania wameweza kupata elimu ya kutosha katika kujilinda na kujikinga dhidi ya Maleria na HIV .

Raisi Msitaafu wa Hawamu ya Nne Mrisho Jakaya Kikwete amesema taasisi yake pamoja na Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi na KAZI zinazofanywa na T-MARC

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment