Tuesday, 23 November 2021

TARURA MKOA WA DSM YAJA KIVINGINE


 Meneja wa Tarura Mkoa wa Dsm Ndugu Mkinga amesema ifikapo tarehe 1/12/2021 Tarura Mkoa wa Dsm itaanza kukusanya tozo za maegesho ya magari Kidigitali . Ivyo amewataka watu kutumia mfumo huu .

Kwani unaokoa muda,unazuia mianya ya upotevu wa mapato ya serikali na kuweza kupelekwa Fedha hizi kutumia kwenye maboresho ya miundombinu ya barabara.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment