Wednesday, 24 November 2021

MWEKA HADHINA WA CHAMA CHA SIASA AIPONGEZA TGNP NA ULINGO


 Mweka Hadhina wa Chama cha Siasa aipongeza TGNP na ULINGO Kwa kuwajengea uwezo wa namna ya kuwa Viongozi Bora kwenye Vyama vyao vya Siasa na jinsi ya kuondoa mfumo dume ndani ya Vyama vya siasa na serikalini.

Ivyo amesema elimu alioupata ataitumia kwaajili ya kuelimisha wanawake mbalimbali kugombea nafasi za Uongozi tena za Juu ili kuwezesha Ajenda za wanawake na matatizo wanayokutana nayo yaweze kutatuliwa Kwa wepesi na haraka.

Mweka Hadhina wa Chama cha Siasa ametoa wito Kwa TGNP na ULINGO elimu hii waendelee kuitoa mara Kwa mara tena wafike Hadi mikoani .

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment