Friday, 19 November 2021

MUHUGUZI MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ATOA SIRI NZITO


 Flora Kajumulla Muhuguzi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga amesema wao wamefanikiwa Kwa kiasi kikubwa katika kupunguza Vifo vya Mamawajawazito na Watoto Wachanga kwa kuwatumia watu wenye magari binausi .

Ambako Kwenye Huo Mradi Mkoa wa Shinyanga Unalipia asilimia miamoja Kwa watu wanaowasafirisha Mamawajawazitowakati wa kwenda kujifungua na Watoto Wachanga,,ambako mradi umesaidia kupunguza vifo 46Kwa mwaka 2016 Kati ya vizazi hai laki moja'' 

Ametoa wito Kwa Wadau na Serikali Kuiga Mkoa wa Shinyanga Lengo kunusuru Vifo vya Mamawajawazito na Watoto Wachanga.Amesema haya kwenye  Mkutano wa Mwaka wakujadili namna ya Kupunguza Vifo vya Mamawajawazito na Watoto wanga. 
 
Ambako Kauli Mbiu Inasema Kuongeza Kasi na Kupunguza Vifo Vitokanavyo na Uzazi, Watoto Wachanga, Watoto Chini ya Miaka Mitano na Vijana.

Habari na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment