Kama anavyoonekana Pichani Kiongozi wa Kundi la kupinga Ndoa za utotoni Kerven akieleza mikakati yao ya kwenda kutoa elimu Kwa Jamii,Viongozi wa Kidini na Wadau wengine.
Kerven ameipongeza na kuishukuru TGNP MTANDAO Kwa juhudi na jitihada wanazozifanya na kuzichukuwa za kupinga na kupiga Vita Aina zote za ukatili WA kijinsia, mfano Ndoa za utotoni.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment