Taasisi ya DORIS MOLLEL FOUNDATION imempongeza Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Kwa juhudi na jitihada anazofanya Kwa kunusulu vifo ya mamawajawazito na watoto wachanga.
DORIS MOLLEL FOUNDATION imeweka Mipango kabambe kwaajili ya kutoa elimu ya afya uzazi ,pia maswala ya watoto njiti NI miongoni mwa maeneo wanayafanyia kazi.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment