Wednesday, 24 November 2021

ANA ENGA AHAIDI MAZITO KUTOKA LHRC

Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC Ana Enga amesema watashirikiana na taasisi ya APRM Kwa Ali na Mali Lengo Tanzania iendelee kuwa nchi inayojali maswala ya Utawara Bora na Demokrasia .

Ana Enga amesema APRM inajumla ya nchi 41 za Kiafrica APRM itasaidia watu kuondokana na mfumo dume,Ukatili wa Kijinsi,Uvinjwaji wa Amani na Viongozi wa Kiafrica kuzingatia haki za binadamu na Utawara bora katika nchi zao . 

Ivyo Taasisi ya APRM imekuja kusimamia Haki katika nafasi za Uongozi.

Habari picha na Ally Thabiti
 

No comments:

Post a Comment