Avemaria Sema Kafu Kiongozi wa ULINGO amesema wamekutana na Viongozi wanawake wa Vyama vya Siasa kwaajili ya kuwajengea Uwezo namna ya kutumia rasilimali za Vyama vyao na namna ya kubeba Ajenda za wanawake wenzao .
Ivyo Wagombee Nafasi zaUongozi Mfano Udiwani,Ubunge,Urasi na nafasi zingine ndani ya Vyama vyao. ULINGO Lengo lao kuu kuondoa mfumo dume katika nafasi za Uongozi.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment