Mmoja wa Afisa wa BOT amesema Katika Kutekeleza maagizo na maelekezo ya raisi Samia Suluhu Hassan Juu ya mabank kupunguza riba ya mikopo kwenye mabank BOT imezikopesha Bank nchini Tanzania kiasi cha tilioni moja Lengo zitoe mikopo ya riba nafuu.
Ambako bank zimeanza kushuaha viwango vya riba ambako apo mwanzo Bank zilikuwa zinatoa asilimia 28 na wataasisi zinazotoa mikopo zimeanza kutoa mikopo asilimia 3.5 Kwa mwezi ukilinganisha na kipindi cha nyuma .
Nae Afisa Mwandamizi wa BOT Crispina Nkwa amewataka watu kutozialibu Kwa kuzikanyaga pesa au kuzifanyia Jambo lolote kinyume na Taratibu za nchi kwani hatua Kali dhidi Yao zitachukuliwa kutokana na sheria ya mwaka 206 ya Tanzania BOT Ndio yenye mamlaka ya kuziaribu pesa amesema haya viwanja vya mnazi mmoja jijini Dsm.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment