Dr Ambege Mwakatobe ameipongeza Serikali Kwa juhudi na jitihada wanazozifanya Kwa kutoa vifaa TIBA vya Afya ya Meno na Kinywa pamoja na uboreshwaji wa miundombinu ya utendaji kazi.
Pia Ongezeko la Ajira la Watumishi Kwa Watoahuduma na kuongezeka Kwa wadahiri pamoja na Vyuo vya kufundishia ,, Dr Ambege Mwakatobe ametoa wito Kwa Wataalam wa Afya ya Meno na Kinywa pamoja na wanaokwenda kupata huduma hiyo kuchukuwa taadhari dhidi ya UVIKO 19.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment