Tuesday, 1 February 2022

SAEED A.BAKHRESSA AIPONGEZA WIZARA YA MAMBO YA NJE


 Saeed A. Bakhressa Project Director Union Property Developers ameipongeza Wizara ya Mambo ya Nje Kwa kuweza kuwatafutia fursa wafanya biashara wa kitanzania kwani wameweza kupata Masoko ya kuaminika nchini Italy Kwa ziara walioenda.

Habari picha na Ally Thabiti

SWAHIBA AWATAKA WAFANYA BIASHARA KUCHANGAMKIA FURSA


 Mkurugenzi wa Mambo ya Nje Africa Mashariki na Ulaya Barozi Swahiba Mndeme amesema Safari walioenda wafanya biashara nchi ya Italy imekuwa yenye mafanikio makubwa .

Amewataka wafanya biashara wa kitanzania kuchangamkia fursa  mbalimbali Lengo Kuongeza wigo mpana kwaajili ya kupata Masoko na wateja .

Habari picha na Ally Thabiti


Tuesday, 25 January 2022

RAIS WA MAHAKAMA YA AFRICA MASHARIKI AFUNGUWA MAFUNZO

 Rais na Jaji wa Mahakama ya Africa Mashariki Nestor Kayobera amesema Lengo la kukutana na majaji wa tanzania kuweza kuwapa Mafunzo kuusu sheria za Africa Mashariki ivyo amesema Mafunzo haya yataleta chachu kubwa Kwa majaji wa tanzania kuzifaham na kuzielewa sheria za Africa Mashariki.

Nae Kwa upande wake THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA JUDICIARY OF TANZANIA HON.DR.GERALD A.M.NDIKA JUSTCE OF APPEAL amesema Mafunzo haya yamefika wakati muhafaka kwani majaji watanufaika Kwa kiasi kikubwa na yataweza kutatuwa mashauri ya Afrika Mashariki bila kikwazo.

Habari na Ally Thabiti

Monday, 24 January 2022

ADC YATANGAZA MGOMBEA USPIKA WA BUNGE


 Mwenyekiti wa Chama cha ADC Amadi Rashid amewataka wabunge wa Tanzania bila kujali Chama na hitkadi zao wamchague Maimuna Saidi awe spika wa bungea jamuhuri ya tanzania kwani anafaa na ana sifa za kuwa spika wa bunge .

Ana Shahada ya Utawara Bora na Uongozi Kutoka chip kikuu cha Udom,mwenyekiti wa ADC amewataka watu kutunza na kujilinda Amani iliyopo nchini Tanzania .

Habari na Ally Thabiti

MTENDAJI MKUU WA TBA AWATOA MCHECHETO WAKAZI WA MAGOMENI KOTE


Saudi Kondoro Mtendaji Mkuu wa TBA amesema nyumba za magomeni Kota zimekamilika wakati wote wakazi 644 waliokuwa wanaishi kwenye nyumba hizi watakabidhiwa .

Habari picha na Ally Thabiti

WAKALA WA MAJENGO WAPONGEZWA


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Aisha Amur Amewapongeza WAKALA WA MAJENGO Kwa  kukamilosha ujenzi wa nyumba za magomeni Kota Kwa wakati ivyo amewataka wakazi 644 wawe wavumilivu kwani nyumba zao watakabidhiwa karibuni.

Habari picha na Ally Thabiti

MKURUGENZI WA KIGAMBONI AWA NA MATUMAINI NA TARURA


 Mkurugenzi wa Kigamboni amesema anamatumaini Makubwa na Tarura ndani ya Wilaya ya Kigamboni katika kuboreha na kuimarisha barabara za Kigamboni kwani yangu Tarura ifanye kazi Kigamboni mafanikio yanaonekana .

Habari picha na Ally Thabiti