Mwakilishi kutoka airtel BITIRCE SINGANO amesema lengo la mafunzo haya kwanjia ya mtandao nikuweza kuwasaidia vijana kuonesha ujuzi wao
habari picha na ALLY THABITI
Friday, 16 June 2017
AFSA MASOKO WA DTB BENKI AMEZITAKA BENKI ZINGINE ZISAIDIE BENKI YA DAMU SALAMA
Afsa masoko waDTB BAGUMA HAMBALI amesema haya kwenye siku ya damu salama pia ameongezea kwa kusema wao waguswa na jambo ili ndio maana wamejitolea
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MKUU WA WILAYA YA ILALA AMEWATAKA WATANZANIA WAJITOKEZE KUCHANGIA DAMU
habari picha na ALLY THABITI
Sunday, 11 June 2017
AMOUR HAMADI AMOUR AZINDUA DARAJA KUNDUCHI
Daraja hili gharama yake milioni301 ambapo manispaa ya kinondoni imetoa milioni 275 na wanajeshi wametoa milioni26
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AZINDUA SHULE YA MSINGI ALLY HAPI
habari picha na ALLY THABITI
MHARIRI WA MLIMANI REDIO NA TV AMEWAPONGEZA TAMWA
AMINI ANTON MGENI mhariri wa vyombo vya habari kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam amesema mafunzo haya yatawasaidia wao pamoja na waandishi wengine kuibadilisha jamii juu ya fikra potofu na kandamizi zinazo chochea ndoa za utotoni ,ukeketaji na ulawiti Pia amewaomba TAMWA wawajengee uwezo viongozi wa madawati ya kijinsia na madaktari kuwapa ushirikiano waandishi wa habari pindi wanapo hitaji kuripoti habari za kijinsia.
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Subscribe to:
Posts (Atom)


