Tuesday, 28 September 2021

GODFREI ABAINISHA CHANGAMOTO ZA KUPATA TAARIFA


 Godfrei amesema swala la kupata taarifa ya bajeti imekuwa tatizo ni vyema serikali itoe ushirikiano .

Habari picha na Ally Thabiti

TWAWEZA WATAKA BAJETI YA TAARIFA


 Esta ameitaka serikali kutenga fedha kwenye halmashauri ili taarifa zitolewe Kwa jamii . 

Habari picha na Ally Thabiti

WAFAMASIA KUTEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI WA AFYA


 Methiyu Maganga ni Mfamasia Kwa niaba ya wenzake wanampongeza rais  Samia Suluhu Hassan Kwa utendaji wake mzuri wa KAZI kwani wanamuunga mkono Kwa asilimia 100 wafamasia wote.

Huku wakimuaidi Waziri wa Afya,Jinsia,Wazee na Watoto kuwa watatekeleza maagizo  na maelezo ya rais Samia Suluhu Hassan,Makamu wa rais Filipu Mipango,Waziri Mkuu Majaliwa Kasim Majaliwa na Viongozi wote wa serikali na yeye mwenyewe Waziri Dorith Ngwajima.

Habari na Ally Thabiti

Monday, 27 September 2021

WAZIRI WA AFYA AJA KIVINGINE


 Dorith Ngwajima Waziri wa Afya, Jinsia Watoto na Wazee  amewataka RMO kusimamia fedha zote za miradi.

 Lengo zitumike Kama inavyotakiwa ambako itasaidia Kwa kiasi kikubwa kuokoa Maisha ya watanzania kupitia Sekta ya Afya .

Habari picha na Victoria Stanslaus


JOKETI MWENGELO AMEWATAKA VIJANA KUWEKEZA KWENYE UTALII


 Mkuu wa  Wilaya ya Temeke Joketi Mwengelo amewataka vijana wa kitanzania kujitokeza Kwa wingi katika kuwekeza kwenye misitu yetu. Pia Amewapongeza na kuwashukuru TFS Kwa kuwavutia wawekezaji kwaajili ya kuwekeza kwenye misitu yetu ili Utalii wa ndani ukue Kama anavyoonekana kwenye picha ya pamoja .

Habari picha na Ally Thabiti

TFS YAPONGEZWA


 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mery Masanja  Amewapongeza TFS Kwa kutengeneza Mazingira rafiki na wezeshi Kwa Utalii wa  ndani ivyo amewataka wawekezaji kuwaona TFS kwaajili ya kuwekeza kwenye misitu yetu.

Habari picha na Ally Thabiti

SHEE WA MKOA WA KAGERA AIMIZA WATU KUCHANGIA


 Shee  Haruna Habdalla Shee wa Mkoa wa Kagera amewataka watu kujitokeza Kwa wingi kuchangia Fedha na Mali katika kuelekea siku ya Mauridi ambako kitaifa tarehe 18 na 19 mwezi wa 10 2021 mkoani Kagera ambako kiasi cha milioni Mia tatu hamsini na tano Fedha zinazoitajika kwaajili ya shuuri hii. 

Ivyo watu wachangie kupitia banki ya CRDB 015522627900 na Mawasiliano 0784644220 mwenyekiti wa kamati. 0713350110 mratibu wa kamati  .0714 270559 katibu wa kamati.

Ametoa wito kwa wamiriki wa mabasi na wafanya biashara mbalimbali wajitokeze kutoa michango Yao ambako mgeni rasimi Rai's wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Habari picha na Ally Thabiti