Monday, 3 July 2017

MABENKI KUCHUANA VIKALI

MAIKO MWITA  kaimu katibu mkuu wa mpira wa kikapu Tanzania ametoa taarifa kwa umma tarehe 15mwezi wa6 mashindano ya mpira wa kikapu yataanza rasmi jijini Dar es salaam benki zipatazo saba zimesibitisha kuwa zitashiriki mashindano haya miongoni mwa benki izo ni NMB,TAB,DTB,CRDB,BIOTI na zinginezo viwanja vitakavyo tumika ni kiwanja cha KIDONGO CHEKUNDU na uwanja wa TAIDFA wa ndani lengo la mashindano haya kudumisha umoja , amani, upendo , utulivu na mshikamano pia bingwa atakae patikana ataenda kuwakilisha nchi kwenye michuano ya Kimataifa ameziasa benki shiriki watumie wachezaji ambao wanafanya kazi kwenye benki zao na si mamluki


habari picha na ALLY THABITI

VIJANA WAMETAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KUPITIA SEKTA YA KILIMO

MOSES LUKOO afsa mawasiliano wa kampuni ya JATU amesema vijana wa kitanzania wachangamkie fursa kwenye sekta ya kilimo pia amewataka wale wote watanzania wajiunge na JATU kwani kampuni hii ni ya kizarendo na inasaidia katika kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla na inasaidia kujenga Afya na kutokomeza umaskini  mpaka sasa kampuni ya JATU ina mwaka mmoja  na inajumla ya wanachama 1178  na kampuni hii inashuurika na arzeti na kuuza unga wa dona na sembe kwa ujazo mbalimbali amezungumzia changamoto wanazokutana nazo mtaji na dhana potofu za watanzania kwakuto iamini kampuni hii ya JATU  Ametoa wito kwa serikali waisaidie kampuni ya JATU kwakupewa mtaji wa kutosha



habari picha na VICTORIA STANSLAUS

Saturday, 1 July 2017

KATIBU MWENEZI WA SIASA WA CCM AMFREI POLEPOLE AFRAHISHWA NA CHAGUZI ZA JUMUIYA ZINAVYOENDESHWA

Katibu mkuu wa uwenezi na siasa wa chama cha  CCM  AMFREI POLEPOLE amesema anafurahishwa na jinsi ya chaguzi za jumuiya mbalimbali zinavyoendeshwa ndani ya chama cha mapinduzi CCM  amesma kuwa chaguzi zimekuwa za uru na haki ametoa rai kwa wanachama wa CCM wazidi kukiimarish chama na kukipigania chama kwa masrai ya chama na Taifa kwa ujumla na wazidi kumuunga mkono MWENYEKITI wa chama cha CCM na ambaye ni rais wa Tanzania  JONH POMBE MAGUFULI kwakulinda na kutetea raslimali za Taifa

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

KATIBU MKUU WA KAFU MAALIM SEFU AMBEZA PROF LIPUMBA

Katibu mkuu wa chama cha wananchi KAFU  MAALIM SEFU  amesema prof LIPUMBA  wao awajawa kitu kimoja ivyo ni mtu wa kupuuzwa na maneno yake MAAKIM SEFU ameongezea kwa kusema kuwa akaunti ya benki ya NMB ya chama cha  KAFU  bado anayo yeye katibu mkuu amesema haya wakati anaongea na waandishi wa Habari kweye Hotel ya PIKOKU  HOTEL eneo la Baridi posta jijini dar es salaam

habari picha na  ALLY THABITI

WAZIRI JENSTA MUHAGAMA AWATAADHARISHA VIJANA

Waziri wa kazi,ajira,vijanana watu wenye ulemavu amewataka vijana nchini Tanzania waache mala moja kutumia madawa ya kulevya kwani wao ni nguvu kazi ya Taifa ivyo wanapo tumia madawa ayowanapoteza nguvu zao na Afya zao kudhoofika  ivyo kulishababishia Taifa kulega kwa uchumi amesema haya kwenye maadhimisho ya kupiga vita madawa ya kulevya ambayo kitaifa yamefanyika viwanja vya nyerere jijini DODOMA



habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASIMU MAJALIWA ATOA ONYO KALI KWA WAUZAJI NA WAINGIZAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI TANZANIA

Waziri mkuu wa Tanzania MAJALIWA  KASIMU MAJALIWA amesema wale wote wanaouza na kuingiza  Dawa za kulevya nchini wakikamatwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yao kwani dawa izo za kulevya zinapoteza nguvu kazi ya nchi ususani vijana hivyo bila kuwachukulia hatua yeyote wauzaji na waingizaji wa dawa hizo watazolotesha uchumi wa nchi na kudhoofisha mipango ya rais MAGUFULI  kuelekea Tanzania ya uchumi wa viwanda  ametoa wito kwa vijana wenye umri wa miaka15 mpaka 35 wajiepushe na matumizi ya dawa za kulevya Pia ameitaka jamii iwafichue wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya pia jamii iwapeleke vijana wao walioathirika na madawa ya kulevya kwenye vituo na Ospitali kwaajili ya tiba amesema haya siku ya maadhimisho yakupiga vita madawa ya kulevyaambako tarehe29/mwezi wa sita 6 ambako uazimishwa kila mwaka kwa Tanzania imeazimishwa kwenye viwanja vya nyerere jijini DODOMA


habari picha na  ALLY THABITI