Monday, 3 August 2020

MWENYEKITI WA MKOA MKOANI KUSINI PEMBA AITANGAZIA VITA CUF

Rashidi Abubakari Saluumu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo wa Mkoa .Mkoani Kusini Pemba amesema Chama cha CUF washakiuwa na kukizika  Pemba  ameahidi kwenye Mkoa wake  kuna majimbo manner 4 . CUF awapata ata Jimbo moja kwenye ngazi zote amesema haya kwenye Mkutano wa  Wajumbe wa Halmashauri Kuu wa Chama cha ACT Wazalendo kwenye hotel ya Lamada iyopo Ilala jijini DSM

Habari picha na Victoria Stanslaus

PICHANI KIONGOZI MKUU WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO AWASILI KWAAJILI YA KUTETA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU

Zito Zubeli Kabwe amefika kwenye Viwanja vya hotel ya Lamada iyopo Ilala jijini DSM kwaajili ya kuweka mikakati na Mipango ya uchaguzi mkuu  utakaofanyika tarehe 28 Mwezi 10 mwaka huu 2020 na Wajumbe wa Halmashauri Kuu


Habari picha na Victoria Stanslaus

KIONGOZI MKUU WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO AKISALIMIANA NA MMOJA YA WAJUMBE PICHANI

Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Zito Zubeli Kabwe akipewa mkono na mjumbe wa Halmashauri Kuu wa ACT Wazalendo baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya hotel ya Lamada Ilala jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

KAMATI YA MAADILI YA TFF YASHUSHA RUNGU ZITO KWA KOCHA WA YANGA

Mjumbe wa Kamati ya Maadili Wakili Msomi Alex amesema kutokana na maneno ya kibaguzi na Uchochezi aliyetoa aliekuwa Kocha wa Yanga Luku  Immeel qamempiga faini ya milioni 3 na kutoshiriki maswala ya michezo Kwa muda wa miaka 2 nchini Tanzania na kutoa kiasi cha fedha milioni tano5 kwani amevunja kanuni ya Ibara ya 53 na 58 amesema haya kwenye Makao Makuu ya TFF jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

PICHANI MAALIM SEFU AKITINGA VIWANJA VYA LAMADA HOTEL

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Sefu kama anavyochikua onekana pichani akiwasiri kwenye viwanja vya hotel ya Lamada iliyopo Ilala jijini DSM kwaajili ya kufungua Mkutano wa kamati kuu wenye Wajumbe 45 Sawa na asilimia 88 walioudhulia

Habari picha na Victoria Stanslaus

MAALIM SEFU AWATOA MCHECHETO WAJUMBE WA KAMATI KUU

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo amesema Maandalizi ya Mkuutano wa Halmashauri kuu na Mkutano Mkuu yamekamilika amesema haya mblele ya wajumbe 45 Sawa na asilimia 88 ambao wameudhuria Mkutano wa kamati kuu uku  Ajenda 9 zikijadiliwa na wajumbe 6 wamepata hudhuru mbalimbali amesema haya kwenye hotel ya Lamada iyopo Ilala jijini DSM

Habari picha na Victoria Stanslaus

NAIBU KATIBU MWENEZI WA ACT WAZALENDO ATOA YA MOYONI

Naibu Katibu Mkuu Mwenezi wa ACT Wazalendo Janeth amesema kamati kuu ya ACT Wazalendo wamekutana kwaajili ya Maandalizi ya Halmashauri kuu Taifa na mkutano mkuu utakaofanyika tarehe 5 Mwezi 8 mwaka 2020 kwaajili ya kumpitisha Mgombea  Urais  Tanzania bara na Nzazibar na kuzindua Irani ya Uchaguzi ya ACT Wazalendo . Swala la makundi Maalim limepewa kipaumbele kwenye Irani ya ACT Wazalendo


Habari picha na Victoria Stanslaus