Kaimu Meneja wa Utekelezaji wa Sheria Kutoka TIRA amesema TIRA imeweka mikakati mikubwa Lengo kuinua na kukuza sekta ya Bima nchini tanzania amesema haya kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dsm.
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Ambako bank zimeanza kushuaha viwango vya riba ambako apo mwanzo Bank zilikuwa zinatoa asilimia 28 na wataasisi zinazotoa mikopo zimeanza kutoa mikopo asilimia 3.5 Kwa mwezi ukilinganisha na kipindi cha nyuma .
Nae Afisa Mwandamizi wa BOT Crispina Nkwa amewataka watu kutozialibu Kwa kuzikanyaga pesa au kuzifanyia Jambo lolote kinyume na Taratibu za nchi kwani hatua Kali dhidi Yao zitachukuliwa kutokana na sheria ya mwaka 206 ya Tanzania BOT Ndio yenye mamlaka ya kuziaribu pesa amesema haya viwanja vya mnazi mmoja jijini Dsm.
Habari picha na Ally Thabiti
Amewataka Wananachi wakiwa na Malalamiko ya Bima waende kwenye Ofisi zao zilizopo Mbeya,Mwanza,Dodoma ,Dsm na Mikoa mingineyo.
Kwamawasiliano zaidi +2552221111117 Nukushi +25522211094 Kwa barua Pepe Ombudsman@tio.go.tz Tovuti Www.tio.og.tz.
Habari picha na Ally Thabiti
Kerven ameipongeza na kuishukuru TGNP MTANDAO Kwa juhudi na jitihada wanazozifanya na kuzichukuwa za kupinga na kupiga Vita Aina zote za ukatili WA kijinsia, mfano Ndoa za utotoni.
Habari picha na Ally Thabiti
FORUM CC inaipongeza TGNP MTANDAO Kwa juhudi na jitihada wanazofanya Kwa jamii Kwa kuwapa elimu ya utunzaji wa Mazingira.
FORUM CC imetoa Rai Kwa serikali washirikiane na Wanaharakati ili waweze kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi . Kwa kuwapa rasilimali watu,Fedha na kuweka mazingira rafiki na wezeshi Kwa wadau wote Kwa maslai mapana Kwa tanzania .
Habari picha na Ally Thabiti
Pia Joyce wa TGNP MTANDAO ameitaka serikali ya Tanzania kutekeleza makubaliano waliyosaini SADC mwaka 2008 namna ya kutokomeza na kupinga maswala ya ukatili wa kijinsia .
Kwani katika makubaliano hayo tanzania imekuwa nchi ya mwisho katika utekelezaji.
Habari picha na Ally Thabiti
Na mambo yote yanayousu ukatili wa kijinsia yeye atakuwa balozi mzuri,ametoa wito Kwa jamii kuungana na TGNP MTANDAO katika kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Habari picha na Ally Thabiti