Wednesday, 17 November 2021

WIZARA YA AFYA YAVUTIWA NA LSF


 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Jinsia ,Wazee na Watoto dokta John Jingu amesema LSF NDANI ya MIAKA KUMI imewezakuisaidia serikali Kwa kiasi kikubwa katika mabadiliko ya Sera,Sheria,Kanuni na Taratibu ivyo wanaishukuru mno.

HAbari na Ally Thabiti

TAWLA YAGUSWA NA LSF NDANI YA MIAKA KUMI YAO

 Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania TAWLA Tike Mwambipile


ameipongeza na kuishukuru LSF Kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwajengea uwezo na uwelewa Mawakili wanawake ndani ya Miaka 10 ,,Tike ameahidi ushirikiano mkubwa wataendelea kuwapa LSF ili waweze kutimiza Lengo la kuondoa ukatili wa kijinsia nchini Tanzania .

Habari na Ally Thabiti

LSF YATIMIZA MIAKA KUMI KIBABE


 Mkurugenzi Mtendaji wa LSF Lulu Mwanakilala amesema katika Miaka kumi wameweza kifikia jamii Kwa kiasi kikubwa Kwa kutoa elimu ya masada wa kisheria,pia wamewajengea uwezo wasaidizi WA kisheria kuanzia ngazi ya Chino mpaka kitaifa kwenye Mikoa ya Tanga,Pwani,Kigoma,Mwanza,Arusha,Shiynga,Ruvuma,Lindi,Mtwara, Dsm,Dodoma,Mbeya, Zanzibar na Mikoa mingineyo.

Lulu Mwanakilala amekishukuru serikali Kwa kuwaunga mkono Kwa kazi zao ,Danida,Ubarozi wa Swiden,ubarozi wa Canada,UK na wadau wengine I.

Habari na Ally Thabiti

DIT YAJA KUTATUA CHANGAMOTO MAHOSPITALINI

 

Meneja Julia Jenjezuu wa Chuo cha DIT amesema Lengo la mradi wao ni kutatua changamoto zilizopo katika jamii kwenye hispitali mbalimbali .amesema vifaa wanavyovitumia vikipelekwa mahospitalini vitasaidia kutatua changamoto mbalimbali.

Ametoa wito Kwa serikali kufanya maboresho na malekebisho yasera na sheria kwenye upande wa Afya.

Habari picha na Ally Thabiti

MAGOMA AWAFIKIA WATU WENYE ULEMAVU


 Dokta Magoma wa Gender Health Amesema Wamevifikia Vituo vya Afya 545 Kwa kuwapa elimu ya Uzazi salama ambako watoa huduma watapewa elimu ya namna ya kuwahudumiwa watu wenye Ulemavu wa aina zote.

Pia wamefikiwa watu milioni moja na lakinane kwenye Mikoa kumi ikiwemo Dodoma,Pwani,Tanga,Arusha,Kilimanjaro,Mwanza Dsm na Mikoa yote ya Zanzibar.

Habari picha na Ally Thabiti

Tuesday, 16 November 2021

MWENYEKITI WA KAMATI YA KILIMO ZANZIBAR AELEZA FAIDA ZA UTAFITI


 Yusufu Masudi Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar amesema Tafiti zinasaidia Kwa kiasi kikubwa kukuwa Sekta mbalimbali ,Mfano Kilimo Ivyo amewaomba Repoa kufanya tafiti za Aina zote mbalimbali Kwa kiasi kikubwa na mara Kwa mara.

Habari picha Ally Thabiti

MTANGAZAJI WA CLOUDS HADAM MCHOMVU AJITABILIA KUFIKIA ANGA ZA KIMATAIFA


 Mtangazaji wa Clouds Pia Mwimbaji wa Mziki wa Kizazi Kipya Hadam Mchomvu amesema anaamini anafanya vizuri na anakubalika na kuaminika wenye mziki wa Kizazi Kipya amefika mbali na anaamini atafika mbali kwenye mziki wake.

Licha ya changamoto anazokutana nazo katika kuwa Mtangazaji na Mwimbaji lakini anafanya vizuri amewataka watu kufuatilia Instagram yake @hadammchomvu na You tube hadammvomvu.

Anapokuwa kwenye kuitangaza anaepuka mgongano wa kimaslai kupiga nyimbo zake na Hadam Mchomvu kabla ya kuwa Mtangazaji alikuwa akiwa katika Uimbaji wa mziki. Ametoa wito Kwa watanzania wajitume katika kazi zao za mziki.

Habari picha na Ally Thabiti