Anastasia Giles Mitema katika huduma ya tiba shufaa inasaidia wagonjwa kwa kiasi kikubwa katika Hospitali ya Oshenroad Rais Dr Samia amewezesha kwa kiasi kikubwa kwenye hospitali hii kwa kutoa fedha pamoja na vifaa tiba .
Sunday, 9 June 2024
NURSE MBOBEZI WA MAGONJWA YA SARATANI NA MATIBABU YA TIBA SHUFAA AMPONGEZA RAIS DR SAMIA
Anastasia Giles Mitema katika huduma ya tiba shufaa inasaidia wagonjwa kwa kiasi kikubwa katika Hospitali ya Oshenroad Rais Dr Samia amewezesha kwa kiasi kikubwa kwenye hospitali hii kwa kutoa fedha pamoja na vifaa tiba .
KATIBU AAHIDI USHIRIKISHWAJI WATU WENYE ULEMAVU DIRA MPYA YA MAENDELEO MIAKA 50
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mipango na Uwekezaji Tausi ameahidi kushirikisha kundi la watu wenye Ulemavu wa aina zote kwa kuweka mazingira wezeshi kwao. lengo watoe mchango wa dira mpya ya maendeleo miaka50 ijayo.
Habari picha na Ally Thabit
TGNP ELIMU WANAYOITOA IZINGATIWE KUELEKEA DIRA MPYA YA MAENDELEO YA 20250
Zito Kabwe anaitaka Wizara ya Mipango na Uwekezaji watumie maswala ambayo Tgnp wanayopigania ili yawepo kwenye jamii ikiwemo Mgawanyo wenye usawa wa rasilimali za nchi,Mgawanyo wa kazi wenye usawa kwa wanaume na wanawake ,haki ya kumiliki ardhi I've yenye usawa kati ya wanaume na wanawake kwani wanawake awanafursa kumuliki ardhi nchini tanzania ivyo kupitia dira hii mpya ya maendeleo ya miaka 50 haya yakiwekwa maswara ya usawa wa kijinsia yatapiga hatuwa kwa kiasi kikubwa ,amesema haya chuo kikuu cha mlimani kwenye kongamano ya dira mpya ya maendeleo nilipofanya nae maojiano.
WAFANYA BIASHARA WAMUONYA NA KUMTAADHARISHA KAMISHINA MKUU WA TRA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wafanyabiashara Peter Mbilinyi anamtaka kamishina mkuu wa tra tanzania aache kuwakumbatia wanasiasa mfano kuna mwanasiasa amegawa majiko ya gesi kwa wafanya biashara ambao awalipi kodi kariakoo pia amewataka viongozi wa Halmashauri ya Ilala waache kuwatumia wafanyabiashara ambao awalipi kodi.
Peter Mbilinyi amewataka wafanya biashara wajitokeze kwa wingi kwenye mkutano utakao fanyika ukumbi wa Anatogo tarehe 13/6/2024 lengo kujadili mambo waliokubaliana na waziri mkuu na kupitia changamoto zilizokuwa zinawakabili wafanya biashara kipindi cha mgomo.
Ameitaka serikali kuwasajili wafanya biashara elfu 20000 waliopo kariakoo ili waweze kulipa kodi, vilevile serikali ikusanye kodi bandarini ili kuondoa usumbufu kwa wafanyabiashara. Umoja wa wafanyabiashara kariakoo unawafanyabiashara elfu 30000 ambao wamesajiliwa .
Habari picha na Ally Thabit
Thursday, 6 June 2024
CHAMA CHA WAFANYAKAZI CHAMPONGEZA RAIS SAMIA
Naibu Katibu Mkuu wa Shilikisho la vyama vya wafanyakazi Saidi amempongeza rais Dr Samia kwa kuboresha maslai ya wafanyakazi nchini tanzania mfano malipo ya fedha za wafanyakazi vyeti feki,malipo ya malimbikizo ya madeni ya wafanya kazi ,Ongezeko la misheara kwa wafanyakazi mwaka jana ,Ongezeko la ajira ,kupandishwa kwa maharaja kwa wafanyakazi, malekebisho ya kikokotoo kwa wastafu .
Kipindi cha miaka mitatu rais samia amekuza ushilikiano na mausiano kati ya wafanya kazi na serikali amesema nilipofanya nae maojohano makao makuu jijini dar es salaam.
Habari picha na Ally Thabit
MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA AWAPA NENO WAHITIMU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA
Dr Philp Mpango Makamu wa rais wa Tanzania amewataka wanafunzi waliohitimu kwenye chuo cha Utumishi wa Umma wazingatie waliofundishwa kwenye utendaji wao wa kazi pia wawe Wazalendo na watangulize maslai ya taifa mbele huku akiwataka wawe watu wenye uweredi,uadilifu,wazingatie maadili na wawe na hofu ya mungu katika utumishi wao.
Makamu wa rais ameupongeza uongozi wa chuo cha utumishi wa umma kwa mafunzo na elimu bora wanayotoa kwenye chuo Chao na namna wana vyowafundisha wanafunzi hawa nidhamu,maadili,uzalendo ,utendaji wa haki,kuepuka rushed na kuwana hofu ya mungo. Amesema kwenye maafari ya wahitimu wa chuo cha Utumishi wa Umma kwenye ukumbi wa mwalimu nyerere jijini dar es.
Habari na Ally Thabit
LATRA CCC YAWAFIKIA WATU WENYE ULEMAVU
Daud Goodluck Daudi Executive Secretary amesema elimu inayotolewa na Latra ccc dar es salaam inazingatia kwa kiasi kikubwa makundi ya watu wenye ulemavu mbalimbali mfano kuna vipeperushi vya maandishi ya nukta nundu kwaajili ya watu wasio ona pia kwenye usafili wa mabasi ya mwendo kasi kwenye mabasi kuna viti vya watu wenye ulemavu wanawake wajawazito na wazee .
pia kwenye vituo vya mwendo kasi miundombinu ni rafiki na wezeshi kwa makundi yote hata watoa huduma wake wana uwezo wa kuwahudumia watu wenye ulemavu na makundi mengine. LATRA CCC dar es salaam inatoa elimu kwa madereva bodaboda,bajaji na daradara ili kuepukana na ajali .
Amekipongeza chuo cha NIT,CBE kwa mafunzo wanayoyatoa ya udereva kwa madereva pia ameipongeza Hospitali ya taifa muhimbili kwa kuingia makubaliano na chuo cha taifa cha usafilishaji NIT kwani ushirikiano wao utasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguwa kwa ajali nchini .
Habari picha na Ally Thabit





