Zito Kabwe anaitaka Wizara ya Mipango na Uwekezaji watumie maswala ambayo Tgnp wanayopigania ili yawepo kwenye jamii ikiwemo Mgawanyo wenye usawa wa rasilimali za nchi,Mgawanyo wa kazi wenye usawa kwa wanaume na wanawake ,haki ya kumiliki ardhi I've yenye usawa kati ya wanaume na wanawake kwani wanawake awanafursa kumuliki ardhi nchini tanzania ivyo kupitia dira hii mpya ya maendeleo ya miaka 50 haya yakiwekwa maswara ya usawa wa kijinsia yatapiga hatuwa kwa kiasi kikubwa ,amesema haya chuo kikuu cha mlimani kwenye kongamano ya dira mpya ya maendeleo nilipofanya nae maojiano.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment