Mkurugenzi Mkuu wa Bank ya CRDB Abdli Majidi Msekela ameamuwa kuja kampuni tanzu ya bima lengo kuokoa maisha ya watanzania na kulinda Mali zao ,ameaidi kushilikiana na kampuni mbalimbali nchini lengo kutoa huduma bora na zenye ufanisi . Pia wanamipango kampuni ya bima kufika nje ya nchi amesema haya jijini Dar es salaam kwenye uzinduzi wa kampuni ya bima CRDB.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment