Jamal Chembera Meneja Mkuu wa Kampuni ya Toyota Tanzania LTD amewapongeza waandaaji wa Mbio za Msoga Marathon kwani fedha zitakazopatikana zitasaidia kuokoa na kunusuru vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya miezi tisa .Jamal Chembera amesema kampuni ya Toyota inamuunga mkono rais Dr Samia katika kukabiliana na uchafuzi wa mazingira ndio maana kampuni ya Toyota wameamuwa kuja na magari ambayo yanatumia nishati ya umeme .
Ivyo amewataka watanzania na wasio watanzania kununua magari kutoka Toyota kwani bei ni mafuu,ayachafui mazingira na ukiitaji unapata kwa muda mfupi .ametoa wito watu wasiogope teknolojia na badala yake waitumie teknolojia kama Toyota walivyoleta magari ya kisasa yanayotumia nishati ya umeme.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment