Mwenyekiti wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Taifa (TAS) Godfrey Moler anaitaka serikali kukomesha mala moja uonevu,ukatwaji wa viungo na mauaji kwa watu wenye ualbino kwa kuwakamata watu wanaotekeleza vitendo hivi. Huku akiipongeza serikali kwa kazi na jitihada wanazozitoa amesema haya mkoani Pwani wilaya ya kibaha kwenye kongamano la watu wenye ualbno taifa
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment