Kahimu Katibu Tawara wa Mkoa wa Pwani Mkoa wa pwani watu wenye ualbno wanawezeshwa kikamilifu katika shughuri mbalimbali za kiuchumi wa kupewa mikopo,masoko ya kibiashara lengo wajikwamuwe kiuchumi na ili wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Mkoa wa pwani swala la ulinzi na usalama kwa watu wenye ualbino wanalifanyia kazi kikamilifu ndio maana amna matukio ya kukatwa wala kuuliwa kwa mtu mwenye ualbino na kamwe aitotokea amesema haya kwenye kongamano la watu wenye ualbino lililofanyika mkoa wa pwani wilaya ya kibaha.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment