Mwananchi wa Wilaya ya Chalinze Kata ya Msoga kijiji cha Msoga Mkoa wa Pwani Adera Izengo amesema msoga marathon itawakomboa wanawake wakati wa kujifungua na itanusuru vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya miezi tisa aijafika .
ametoa rai kwa waandaji wa msoga marathon mbio hizi ziwezinafanyika kila mwaka kwani licha ya kupatikana kwa fedha kwaajili ya ujenzi na kuboresha hospitali ya Chalinze pamoja na ununuzi wa vifaatiba pia mbio zinasaidia watu kufanya mazoezi ya mwili amemshukuru mhe mbunge na naibu waziri Riziwani Kikwete pamoja na waandaji wa msoga marathon bila kuwasaau washiriki wote amesema haya wilaya ya Chalinze kata ya Msoga kijiji cha Msoga mkoani Pwani.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment