Naibu Katibu Mkuu wa Shilikisho la vyama vya wafanyakazi Saidi amempongeza rais Dr Samia kwa kuboresha maslai ya wafanyakazi nchini tanzania mfano malipo ya fedha za wafanyakazi vyeti feki,malipo ya malimbikizo ya madeni ya wafanya kazi ,Ongezeko la misheara kwa wafanyakazi mwaka jana ,Ongezeko la ajira ,kupandishwa kwa maharaja kwa wafanyakazi, malekebisho ya kikokotoo kwa wastafu .
Kipindi cha miaka mitatu rais samia amekuza ushilikiano na mausiano kati ya wafanya kazi na serikali amesema nilipofanya nae maojohano makao makuu jijini dar es salaam.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment