Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi Cuf Prof Haluna Lipumba kupitia baraza kuu la uongozi la taifa kwenye chama cha Cuf wanaitaka serikali kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi ambayo itasimamia uchaguzi wa serikali ya mtaa na uchaguzi mkuu kama walivyokubaliana kwenye vikao vya meridhiano,kuwepo na mabadiliko ya katiba kwenye kipengere cha mgombea binausi,wananchi wajitokeze kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura ili wapate haki ya kuchagua na kuchaguliwa . Amewataka viongozi wavyama vya siasa waache rugha na vitendo vya kuvunja na kuugawa muungano wetu,pia amewataka vijana wa chama cha cuf kuanzisha uamsho wa jino kwa jino kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na kuelekea uchaguzi mkuu.
Cuf wanaitaka serikali kubolesha mfuko wa mahafa na itoe tasmine ya matatizo yaliotokea kwenye bwawa la mwalimu nyerere vilevile kuangalia namna ya kuweza kupunguza fedha za deni la taifa kwani limekuwa kubwa ambako zaidi ya tilioni 70 tanzania inadaiwa .amesema haya makao makuu ya chama cha cuf jijini daer es salaam eneo la buguruni.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment