Riziwani Kikwete Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri amesema wameamuwa kuleta Msoga Marathon Lengo kupata fedha kwaajili ya kununua vifaa vya kuwaifadhi watoto wanaozaliwa kabla ya kutimiza miezi tisa (NJITI) .
amewashukuru watu,makampuni,taasisi, viongozi wa vyama vya siasa,viongozi wa kiserikali na wadau mbalimbali kwa kushiriki kwenye Msoga Marathon na kutoa michango yao mbalimbali . Kwani yeye mbunge wa Chalinze ameahidi fedha zilizopatikana zitatumika kwa malengo yaliyokusudiwa.
Na amesisitiza kuwa Msoga Marathon itafanyika kila mwaka amesema haya mkoani Pwani wilaya ya Chalinze kata ya Msoga kijiji cha Msoga kwenye mbio za Msoga Marathon .
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment