Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Martini Mbwana anawataka wafanyabiashara kufungua maduka yao kwani changamoto walizoolozesha kamati ya waziri mkuu baadhi washazifanyia kazi na vikao vinaendelea kati ya kamati ya waziri mkuu na Wafanyabiashara lengo wafanya biashara wasitishe kufunga maduka yao.
Mpaka sasa mikoa ambayo wafanyabiashara wamefunga maduka yao .Arusha,Mbeya,Mwanza,Tanga,Mtwara na dar es salaam. Mwenyekiti wa wafanyabiashara Martini Mbwana amesema hii inaleta athari kwa uchumi wa tanzania na uchumi wa mtu mmojammoja ivyo anatoa rai kwa wafanyabiashara kufungua maduka yao kwani hata mkuu wa mkoa wa dar es salaam CHALAMILA ameimiza hekima na busara itumike na si kufunga maduka kwani kitendo cha kufunga maduka ni kukiuka maagizo na maelekezo ya waziri mkuu Amesema haya jijini
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment