Mama Gema Mwenyekiti na Mwanaharakati wa Tgnp anasikitika kwa kiwango kikubwa kwa bajeti kuu ya serikali iliyowasilishwa na waziri wa fedha Dr Mwigulu Mchemba aijazingatia wala kuwekwa mambo ya kijinsia wala amna msamaa wa kodi kwenye taulo za kike. Nivyema Wabunge na serikali wawe wanaweka kipaumbele kwenye maswala ya kijinsia, Mwenyekiti wa bodi wa Tgnp amesikitika kwa kiwango kikubwa utoaji wa maoni kuhusu dira mpya ya maendeleo ya miaka 50 ijayo watu wenye ulemavu awajapewa mazingira rafiki na wezeshi namna ya kutoa michango yao ya maoni .
Ivyo ni Vyema Serikali Kuweka Mazingira ambayo watu wenye ulemavu watashiriki katika kutoa maoni yao na bajeti kuu ya serikali awajawazingatia watu wenye ulemavu ,ametoa wito kwa watu wenye ulemavu wakae pamoja ili wapaze sauti zao kwa serikali kwa lengo la kuwekewa mazingira rafiki na wezeshi katika kutoa maoni yao katika kutoa maoni yao kwenye dira mpya ya taifa ya miaka 50 ijayo.amesema haya makao makuu ya Tgnp mabibo jijini Dar es salaam kwenye ufatiliaji wa usomwaji wa bajeti kuu ya serikali.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment