Kapole Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino (TAS) tangu mwaka 2006 mpaka Leo 2024 vitendo vya ukatili dhidi ya watu wenye ualbino vimezidi kushika kasi na kupelekea watu wenye ualbino kukosa amanita nchini tanzania amesema haya kongamano la uwelewa kuusu ualbino mkoani pwani wilayani kibaha.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment