Meneja wa taasisi ya TARSI Rojers Fungo Taasisi yao imeamuwa kufanya semina ya siku tano5 na Waandisi wa barabara pamoja na Wanafunzi kutoka Vyuo vikuu na watu wa serikalini lengo kuweka mikakati ya pamoja ya namna ya kudhibiti ajali za barabarani . Semina hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kufanya maboresho ya seranq maboresho yakutumia teknolojia za kisasa katika utengenezaji wa barabara.
Rojers Fungo ametoa wito kwa washiriki wa semina hii wazingatie mafunzo na watendee kazi watakayoyapata kwenye semina .
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment