Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitira Mkumbo amesema tgnp inafanya kazi kubwa ya kupinga ukatili wa kijinsia na kutaka mgawanyo wa rasilimali pamoja na kutokomeza mira na destuli potofu. Waziri Kitira Mkumbo ameiakikishia tgnp na watanzania kuwa dira mpya ya maendeleo ya miaka 50 ijayo itaweka ,itazingatia na kusimamia maswala haya yote muhimu bila kusaau haki ya kuishi,utawarabora ,misingi ya utu na mengineyo amesema haya chuo kikuu mlimani kwenye kongamano la dira mpya ya maendeleo miaka 50 ijayo nilipofanya nae maojiano.
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment