Katibu Mkuu wa Shivyawata Lubago amesema sheria kali iwekwe kwa wale ambao wanaowakata viungo na kuwauwa watu wenye albino pia amewataka watu wenye ulemavu washiliki kutoa maoni kwenye dira mpya ya maendeleo ya taifa amesema haya kwenye kongamano la uelewa kuusu watu wenye ualbino mkoa wa pwani wilaya ya kibaha.
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment