Thursday, 9 July 2020
WATU WENYE ULEMAVU MKOA WA SINGIDA WAIPONGEZA VETA
Kijana kwenye ulemavu wa viungo Saimoni Jobu ameupongeza Veta ya Mkoa wa SINGIDA Eneo la sabasaba Kwa kutoa mafunzo bule Kwa watu wenye ulemavu Kwa miaka 3 pamoja na Maradhi na Chakula kwenye sekta mbalimbali wanazo fundisha kupitia Veta ameweza kupata utaaram wa kushona Kwa mikono nakuweza kupata kipato na kuondokana kuwa tegemezi ametoa wito Kwa Wazazi,walezi na jamii waache kuwafungia ndani na kuwanyanyapaa watu wenye ulemavu wawapeleke kupata elimu kwenye chuo cha Veta sabasaba Singida na maeneo mengine amesema haya ndani ya Viwanja vya sabasaba kwenye maosho ya 44
BOT YAWEKA HAZARANI FAIDA ZA UCHUMI WA KATI
Shamy Chamicha Afsa Mipango Mwandamizi wa Kurugenzi wa Utafiti,Sera na Uchumi amesema faida zinazopatikana kufika Uchumi wa kati Tanzania tutapewa misaada bila mashariti magumu nchi itajitegemea yenyewe Shamy amesema Jambo liliopelekea be mpaka kufika Uchumi wa Latino utendaji mkubwa wa kazi Kwa watanzania Kwa Kila sekta ametoa wito Kwa watanzania wafanye kazi Kwa Kasi kubwa amesema haya kwenye Viwanja vya Saba Saba kwenye maonyesho ya 44
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
TRA YAWAKARIBISHA WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA
Meneja wa huduma wa TRA Honesta Ndunguru amewataka watanzania na wasiowatanzania kujitokeza kwenye Banda la TRA ndani ya Viwanja vya Saba Saba waweze kutatuwa changamoto walizo nazo katika maswala ya Kodi na kujenga uwezo wa namna ya kulipa Kodi na kuelezwa faida za ulipaji Kodi TRA inawapongeza na kuwashukuru walipa Kodi wote Honesta Ndunguru amesema TRA inamalizia mpango wa kuandaa maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya watu wasio Ona ili waweze kujifunza na kuelimika na kutambua umuhimu wa kulipa Kodi
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
MKURUGENZI WA TIC ABAINISHA MAZITO YA RAIS MAGUFULI
Kwa miaka mitano ya rais Magufuli kituo cha Uwekezaji kimetekeleza Kwa Vitendo Irani ya Chama cha CCM Chini ya rais Magufuli Kwa kuwavutia wawekezaji na kuja kuwekeza Tanzania ambako wameweza kufanya makongamano kwenye Mikoa 19, Uwekezaji wa mifumo mbalimbali ya malipo kwenye Uwekezaji kupinga rushwa Kwa watumishi wa TIC Jofrei Mwambe Mkurugenzi wa TIC amesema miradi ya Dora bilioni 20.438 wametekeleza Kwa Vitendo Idadi ya miradi 1312 na Ajira laki moja 174101 za moja Kwa moja Kwa watanzania na wasio watanzania asilimia54 nusu yake Uwekezaji umefanyika kwenye viwanda
Ametoa wito Kwa wanahabari kuitangaza vizuri TIC waache kuipaka matope
Habari picha na Victoria Stanslaus
Ametoa wito Kwa wanahabari kuitangaza vizuri TIC waache kuipaka matope
Habari picha na Victoria Stanslaus
MKURUGENZI WA TIC ABAINISHA VYANZO VYA TAARIFA
Jofrei Mwambe Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania amesema wameamuwa kutoa Jarida ,TV na kuboresha tuvuti Yao Lengo kuwafikishia taarifa kwa u karib watanzania na wasio watanzania ili wajitokeze kuwekeza Kwa kiasi kikubwa pichani Jofrei Mwambe akionesha Jarida linalotoka Kila baada ya miezi3 wakati akiingia na wanahabari jijini DSM
Habari picha na Victoria Stanslaus
Habari picha na Victoria Stanslaus
Wednesday, 8 July 2020
MKURUGENZI SOFIA ATOA NENO KWA WATU WENYE ULEMAVU
Sofia Mkurugenzi wa taasisi ya Amani Kwa Maisha ya watu wenye Ulemavu amewataka watu wenye ulemavu nchini Tanzania kutoa kata Tamaa ivyo wachangamkie furusa mbalimbali zinazojitokeza huku akimpongeza juhudi za serikali kupitia Wizara ya Elimu Kwa kutoa vifaa saidizi Tanzania nzima
Habari na Ally Thabit
Habari na Ally Thabit
MKURUGENZI WA ELIMU MAALUM AIPONGEZA SERIKALI
Mkurugenzi wa Elimu Maalum dokta Magreti Matonya ameipongeza serikali Kwa kununua na kuvisambaza vifaa vya wanafunzi wenye ulemavu vyenye kiasi cha fedha shilingi bilioni 2.3 ametoa wito Kwa jamii Wazazi na waleZi kutowafungia watoto wenye ulemavu ndani ivyo wawapeleke shuleni
Habari na Ally Thabit
Habari na Ally Thabit
Subscribe to:
Posts (Atom)




