Thursday, 9 July 2020

WATU WENYE ULEMAVU MKOA WA SINGIDA WAIPONGEZA VETA

Kijana kwenye ulemavu wa viungo Saimoni Jobu ameupongeza Veta ya Mkoa wa SINGIDA Eneo la sabasaba Kwa kutoa mafunzo bule Kwa watu wenye ulemavu Kwa miaka 3 pamoja na Maradhi na Chakula kwenye sekta mbalimbali wanazo fundisha kupitia Veta ameweza kupata utaaram wa kushona Kwa mikono nakuweza kupata kipato na kuondokana kuwa tegemezi ametoa wito Kwa Wazazi,walezi na jamii waache kuwafungia ndani na kuwanyanyapaa watu wenye ulemavu wawapeleke kupata elimu kwenye chuo cha Veta sabasaba Singida na maeneo mengine amesema haya ndani ya Viwanja vya sabasaba kwenye maosho ya 44

No comments:

Post a Comment