Mwenyekiti wa Jumuhiya kata ya Mbagala Kuu ameviwezesha vyama pinzani visaau kuing'oa madarakani Chama cha mapinduzi CCM kwani matatizo yote ya watanzania rais Magufuli ameyatatuwa nae Mwenyekiti wa Jumuhiya ya Wazazi CCM Frenki Kalokola wa Mkoa wa DSM ameupongeza rais Magufuli kwakuiwezesha Tanzania kufikia Uchumi wa Kati na kutekeleza Kwa Vitendo Irani ya CCM
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment