Saturday, 11 July 2020

UONGOZI MPYA WA CHUO KIKUU UDOM CHAJA NA MIKAKATI MIPYA

Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti Dokta Amburose  Kessy wa Chuo Kikuu cha Dodoma amesema Tafiti zao wanazofanya zina Lengo la kutatua matatizo ya kijamii. Mwaka huu chuo Kikuu Dodoma kupitia Kwa wanafunzi na Walimu kimeweza kubuni baadhi ya Tafiti kwenye maeneo ya Afya, kilimo na Viwanda . Amesema uongozi wa sasa Chini ya Malam   Mkuu wa Chuo prof Faustine Bee  umeweza kuleta mageuzi makubwa katika Chuo Kikuu cha Dodoma .uongozi mpya umelenga kuboresha program zote za digrii ya Kwanza Hadi tatu Kwa kuzingatia ubora wa kufundisha kufanya Tafiti na kutoa huduma Kwa jamii Dr Kessy amesema haya kwenye maonyesho ya 44 kimataifa ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM

Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment