Bibi kutoka kijijini cha Lukanga amesema anamshukuru Njomoke kwakuweza kuhudumia familia Yao Kwa kuendeleza kilimo hichi cha Korosho kwani pesa zinazopatikana kutoka a na Korosho zinawasaidia kujikimu kimaisha na kutatua matatizo mbalimbali
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment