Musa Haji Kombo amewshukuru na kuwapongeza wajumbe wa mkutano mkuu Kwa kuweza kumchagua kuwa Makamu mwenyekiti Visiwani Zanzibar na Kwa kumchagua kupeperusha bendera ya Chama cha CUF Kwa nafasi ya Urais Visiwani Zanzibar ifikapo tarehe 28 Mwezi 10 mwaka huu 2020 ameaidi atamsambaratisha na kumgaragaza Maalim Sefu kwenye Uchaguzi mkuu
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment