Ndugu Wiliam Amechukua Fomu Kuwania nafasi ya Ubunge kwenye Jimbo la Ubunge kupitia Chama Mapinduzi CCM amehaidi kuwa endapo CCM itampa ridhaa kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020 Mwezi wa 10 atashinda Kwa kishindo amewataka Wana Ubunge wasikichague Chama cha Chadema na vyama vingine vya Upinzani kwani Hanna Maendeleo walioleta sasa wamchague CCM . Amesema kwataaluma yake ya Uhandisi akichaguliwa kuwa Mbunge atasaidia Kwa kiwango kikubwa kama yeye alivyomsaidia rais Magufuli kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini kupitia Uhandisi wake Kati ya vitu akavyofanya Ujenzi wa Hospitali,upatikaji wa maji na ujenzi wa madarasa
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment