Thursday, 16 July 2020

CCM ILALA WATIA NIA WA UBUNGE NI MAFURIKO

Katibu wa Ccm wa Wilaya ya Ilala Idi Mkoa amesema Jimbo la Ukonga wanachama wa CCM waliochukua fomu ya kutia nia nafasi ya Ubunge 114 Jimbo la segerea 73 na Ilala 21na kufikia Idadi ya watia nia 208 hii inatolewa na utendaji mzuri wa kazi wa rais Magufuli amewataka wapidhani kuwa mwaka huu kwenye Uchaguzi mwaka huu 2020 Awana nafasi ya Uongozi amesema haya Makao Makuu ya Ccm Wilaya Jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment