Katibu Mkuu wa Chama cha Wakunga na Tiba Asili (CHAWATIATA) Mittam amesema kuanzia mwaka 2000 hayati rais Benjamin William Mkapa alitaka waganga wa Asili kazi zao zitambulike kisheria ilipofika mwaka 2001 Bunge likaanza kujadili maswala ya Waganga na Tiba zao za Asili nailipofika tarehe 31 mwezi12 mwaka 2002 rais Mkapa alisaini mswada wa kutamburika kazi za Waganga wa jadi na mwaka 2005 Wizara ya Afya ikaunda Baraza la Usajmaswala ya Tiba Asili ndio maana CHAWATIATA kimepokea msiba huu Kwa majonzi na masikitiko makubwa. Katibu ameaidi kutekeleza Kwa Vitendo yale yote alio yaacha rais Mkapa
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment