Mkuu wa Kitengo cha Idara ya Viungo Visaidizi ndugu Mwakasungura amesema Wana MIPANGO ya kuraisisha upatikaji wa vifaa saidizi vya Binadamu Kwa gharama nafuu amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment