Friday, 3 July 2020

MLEMA WA TLP ATEMA CHECHE KWA WANAO MZOMEA MAGUFULI

Mwenyekiti wa TLP Agustino Yatonga Mlema amewataka watu WANAO mzodoa ,WANAO mbeza na kumtukana rais Magufuli waache mala Moka kwani rais Magufuli amewezesha Tanzania kufikia Uchumi wa Kati Kwa miaka Kitano Kwa mujibu wa taarifa kutoka Bengi ya dunia  Pia amewakemea wale wate wanaosema Chama cha TLP kimenunuliwa na CCM kwani yeye Mlema na Chama chake cha TLP si Malaya wa siasa


Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment