Thursday, 16 July 2020

HADIJA FARAJI AWASHA MOTO KIBAMBA

Mkuu wa Mafunzo ya Taaluma Ccm Makao Makuu Hadija Faraji amesema ameamuwa kuchukua fomu kwenye Jimbo la Kibamba Kwa nafasi ya Ubunge Lengo amsaidie rais Magufuli katika kutekeleza Irani ya Chama cha Mapinduzi CCM . Moja ya mikakati yake akipewa ridhaa ya kuwa Mbunge ndani ya Chama cha CCM atawezesha upatikanaji WA maji,ujenzi wa madarasa pamoja na Afya mewataadharisha wapinzani wastarajie kupata nafasi ya Ubunge ndani ya Jimbo la Kibamba Kwa CCM imejipanga kikamilifu amewatoa ofu Wana CCM na watanzania kuwa yeye anatosha kuwa Mbunge ndani Jimbo la Kibamba kwakuwa anauzoefu na Uongozi kuanzia ngazi ya Shina mpaka Taifa


Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment