Afsa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka na Ununuzi wa Umma (PPRR) Mwandisi Leonadi Kapongo ameitaka taasisi 57 za serikali zijiunge katika mfumo wa kieletroniki WA manunuzi wasipo Fanya hivyo hatua Kali zitachukuliwa dhidi Yao pia amesema mfumo huu unaondoa hurathimu na kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambazo zilikuwa zikipotea amesema haya alipotembea kwenye Banda la PPRA kwenye maonyesho ya 44 ya sabasaba jijini DSM
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment