Friday, 10 July 2020

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE YAJIVUNIA HUDUMA BORA

Dokta Pedro Pallangyo bingwa na mtafiti wa taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete inajivunia kutoa huduma Bora na nzuri kwenye matibabu ya Moyo tangu waanze kutoa huduma hizi wameweza kunusuru vifo vya watanzania na wasio watanzania vilivyo vinasababishwa na Ugonjwa wa Moyo Taasisi ya Jakaya Kikwete ya Moyo imeweza kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambazo zingeenda kutumika nje ya nji Kwa ajili ya kutatuwa matatizo ya Moyo daktari bingwa WA ugonjwa wa Moyo wa taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwenye maonyesho ya 44 ya sabasaba ametoa wito Kwa watanzania na wasio watanzania kuweza kutumia taasisi ya Jakaya Kikwete ya Moyo kwaajili ya kutibiwa matatizo ya Moyo Kwa being nafuu na Kwa haraka zaidi


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment