Dr Sarah Nassor Director wa Kampuni ya Holistic Point amewataka watu kutumia Dawa zao za Asili ili waweze kupona wanapatikana Temeke hizi ndizo huduma wanazozitoa Cupping therapy/kuumika,Massage therapy/Tiba ya kuchukua,Visomo vya Ruqya,Reflexology/Tiba ya kubonyeza naHerbs/ Dawa za Asili . amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM
Habari picha na Ally Thabit
Kazi nzuri sana
ReplyDeleteMashaallah,asilimia ya watu wengi wamesahau /wanadharau tiba za asili za kitanzania na wanakimbilia kwa wachina/wahindi n.k japo si vibaya ila ni vizuri tuthamini cha kwetu ila natoa wito kwa matabibu wa tiba asili kuwa wabunifu na kupenda kujifunza zaidi
ReplyDeleteHongereni
ReplyDelete